kadesha na matukio
James ze navigator
12.05.2015
Breaking newz ajali ya daladala yaua mmoja mkoani iringa
Ni ajal iliyotokea Jana Usiku mda Wa saa moja jioni hivi daladala hiyo ilikua ikitokea mjini kuelekea tumaini chuoni ambapo chanzo cha habar kinasemekana gar hiyo ilifeli break na kupinduka kwa ubavu Inasemekana. Ndani ya daladala hiyo kulikua na abiria wawili dereva na konda ...inasemekana abiria mmoja alifariki papohapo na mmoja alinusulika na kwa sasa yupo hospitalini kwa matibabu mashuhuda Wa ajal wanasemaje dereva na konda walikimbia baada ya ajal kutokea..pia inasemekana aliefariki kua ni mwanafunzi chuo cha iringa mwaka wa pili degree anajulikana kwa jina la neema traatibu za mazishi zinafanyika chuonitraatibu za mazishi zinafanyika chuo kikuu iringa na marehemu ataagwa Leo saa kumi jioni hapo chuoni12.03.2015
MUONEKANO WA IRINGA MJINI
![]() | |
| james ze navigator the blogger boy |
angalia picha za mij wa iringa kwa kutumia picha zenye ubora wa hali ya juu na kwa ukubwa pia picha hizi zikionesha iringa mjini namaeneo mengne yanayo patikana iringa mjini
![]() |
| hapa ni mtaa wa kiheasa na huu ni mlima kiheesa |
James ze navigator the blogger
12.01.2015
vyuo bora tanzania
VYUO VIKUU VINAVYOONGOZA KWA UTOAJI WA ELIMU BORA TANZANIA(GRADUATES) by james ze navigator
Kumekuwa na sintofahamu nyingi ni chuo gani kinachoongoza kwa kutoa wanafunzi wenye elimu ambayo ni competent tanzania,utafiti uliofanyika wiki iliyopita umeonyesha kuwa elimu itolewayo chuo kikuu cha dar es salaam bado ipo juu na graduates wake wamekuwa wakifanya makubwa wawapo kazini,Pia zimetajwa kozi zenye mafanikio chuoni hapo ,Ni pamoja na SHERIA, na Education.
Chuo cha pili kwa ubora wa elimu na chenye kutoa graduate wazuri ni chuo kikuu cha SUA kilichopo mkoani morogoro,pia utafiti umeonyesha kuwa chuo hicho 93% ya kozi zake zimekuwa na soko sana kwenye ajiya baadhi ya kozi zilizoorodheswa ni,Bachelor of veternary medicine(BVM),Bsc.AGRONOMY,Bsc.Irrigation engineering,Bsc.Food science and Technology,Bsc.Agriculture general,Bsc.Animal science.
Vyuo vingine ni kama vinavyoonekana hapo chini
1 University of Dar es Salaam . (UD)
2 Sokoine University of Agriculture (SUA)
3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences (Muhas)
4 The Hubert Kairuki Memorial University
5 St. Augustine University of Tanzania (saut)
6 Tumaini University
7 The University of Dodoma
8 Ardhi University
9 St. John's University of Tanzania
10 Teofilo Kisanji University
11 The State University of Zanzibar
12 Mount Meru University
13 Mzumbe University
14 Zanzibar University
15 The University of Arusha
16 Muslim University of Morogoro
17 International Medical and Technological University
11.30.2015
karibu iringa
Hiii ni moja ya maeneo yanayopatikana iringa eneo Hili lipo karibu kabisa na chuo Kikuu cha Iringa
Karibu iringa
Subscribe to:
Comments (Atom)
MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI KIDATO CHA TANO
UPDATES:HIZI HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZOTE ZA FORM V/KIDATO CHA TANO(5) 2017/2018 MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI...
-
james ze navigator the blogger boy karibuni iringa mjini angalia picha za mij wa iringa kwa kutumia picha zenye ubora wa hali ya...
-
Special need education is defined as a particular educational requirements resulting from learning difficulties such as physical disabilit...































