12.01.2015

muonekano tofauti wa mji wa iringa

Mji huu umezungukwa na milima na hivyo inasababisha kuwa na Hali ya hewa tofauti na miji mingine kama mwanza singida dodoma  daresalam na kadhalika ..wakazi wanaopatikana katika mji huu wengi wao ni wahehe pia wabena  ...karibuni IRINGA.








By james ze navigator 

No comments:

MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI KIDATO CHA TANO

UPDATES:HIZI HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZOTE ZA FORM V/KIDATO CHA TANO(5) 2017/2018   MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI...