12.05.2015

Breaking newz  ajali ya daladala yaua mmoja mkoani iringa 

Ni ajal iliyotokea Jana Usiku mda Wa saa moja jioni hivi daladala hiyo ilikua ikitokea mjini kuelekea tumaini chuoni ambapo chanzo cha habar kinasemekana gar hiyo ilifeli break na kupinduka kwa ubavu Inasemekana. Ndani ya daladala hiyo kulikua na abiria wawili dereva na konda ...inasemekana abiria mmoja alifariki papohapo na mmoja alinusulika na kwa sasa yupo hospitalini kwa matibabu mashuhuda Wa ajal wanasemaje  dereva na konda walikimbia baada ya ajal kutokea..pia inasemekana aliefariki kua ni mwanafunzi chuo cha iringa mwaka wa pili degree anajulikana kwa jina la neema traatibu za mazishi zinafanyika chuonitraatibu za mazishi zinafanyika chuo kikuu iringa na marehemu ataagwa Leo saa kumi jioni hapo chuoni




Picha na james ze navigator

No comments:

MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI KIDATO CHA TANO

UPDATES:HIZI HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZOTE ZA FORM V/KIDATO CHA TANO(5) 2017/2018   MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI...