Mwezi mmoja wa uongozi wa Magufuli Tanzania
7 Disemba 2015 Imebadilishwa mwisho saa 16:18 GMT
Ni
siku thelathini tu tangu rais mpya wa Tanzania John Pombe Magufuli
aingie madarakani, lakini kasi ya utendaji wake umeibua hisia mbalimbali
nchini humo, nchi za jirani na hata zingine za mbali barani Afrika.
No comments:
Post a Comment