12.08.2015

Yabaki ,masaa machache ambapo watanzania wote nchini wataungana kusheherekea sherehe yamuungano kwa namna ya tofauti tangu taifa hili lipate uhuru haijawahi tokea ambapo watasherekea kwa kufanya usafi maeneo yanayo wazunguka hii ni kutokana na dokta john pombe magufuli Raisi ya wa muungano wa tanzania alitangaza ili watanzania waweze kujiepusha na mazingira hatarishi yanayoweza sababisha watu kupata kipindupindu hivyo siku ya kesho ambayo ni tarehe 9/12 watanzania wataungana na wengine nchii nzima kufanya usafi ..............

mabwana afya na bibi afya  watakua wakizunguka mtaani kwani wao ndo wahusika wakuu kuhakikisha usafi ukiendelea na kwa kiwango kinxhotazamiwa for furher information

.James ze navigator

No comments:

MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI KIDATO CHA TANO

UPDATES:HIZI HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZOTE ZA FORM V/KIDATO CHA TANO(5) 2017/2018   MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI...